Music: John Rodgers f/ Shilah - You Make My Heart Sing

Sikiliza wimbo mpya kutoka kwa msanii anayeitwa John Rodgers ft Shilah ngoma inaitwa 'You Make My Heart Sing'  studio AM Records chini ya producer Manecky isikilize na kuipakuwa hapa




"Kwa mara nyingine JOHNRODGERS FT SHILAH naachia ngoma nyingine na ngoma hii inaitwa YOU MAKE MY HEART SING ambayo nimerecordia AM RECORD CHINI YA MANEKE . Na kwa wale wanao amin juu yangu na sitokaa niwaangushe kabisa. LOVE YOU ALL NA BILA NYIE NISINGEKUA HAPA . Enjoy the song na naombeni saport yenu watu wangu"
Previous Post Next Post

Popular Items

HOW TO LOOSE GOOD WOMAN

5 THINGS YOU DON'T KNOW ABOUT LIL COOL J