Diamond Platnumz : Mnasema nyie Ndiyo wenye sauti nzuri yangu mbaya saina tatizo sasa bado mbona bado tena mnanifatilia?

 Dimaond Platnumz ameamua kutoa yale ya moyoni kwake kwa kuwafikishia ujumbe wasanii wanaolazimisha kumtengenezea ugomvi usio wa lazima na kubwa zaidi kwa wale wanaosema kuwa Diamond Platnumz ajui kuimba na sauti yake ainamvuto.




Soma hapo chini alichokiandika Diamond Platnumz

'' kiukweli, nasikitishwa sana jins baadhi ya wasanii kutwa wanavyolazimisha kunitengenezea ugomvi wa kilazima pasipo kuwa na sababu, mara wengine wakizusha eti Nimewatusi kwenye Media, Mara sjui Nimepost kuwakashif, yaani ilimradi tu....kwanini Wanamuziki wa Tanzania Tunashindwa kubadilika... mbona mi nahangaika na muziki wangu kimpango wangu... Mnasema nyie ndio mnaojua kuimba mie sijui "sinatatizo"... Mnasema nyie ndio wenye sauti nzuri yangu mbaya "Sina tatizo"... sasa mbona tena bado mnanifatilia na kutokujua kwangu... Nafkiri ni vyema mkaanza kutumia ujuzi wenu kukuza sanaa ya nchi yetu na kuleta heshima na maendeleo nchini, kuliko kupika majungu..... Watu wanataka kazi! ''
Previous Post Next Post

Popular Items