Kaa tayari kwa ujio mpya wa Godzilla , Zachaa na Diamond Platnumz

Mfalme wa Salasala kwenye bongo flava, Godzilla amepanga kuwasurprise mashabiki wake wiki hii atakapoachia ngoma aliyofanya na Diamond na Zachaa ndani ya MJ, Records.


“Nawaambia tu, wiki hii inayoanza kuna mdundo nitatoa yaani. Nimefanya Zachaa, mimi na Didamond… Ngoja nisiiongelee hiyo itakuwa surprise. Wiki inayoanza kuna mdundo wa hatari utakuja, let me not talk about it. Itakuwa Surprise.” Godzilla aliiambia The Playlist ya 100.5 Times Fm.

Katika hatua nyingine, Godzilla na G- Nako wanampango wa kufanya video ya wimbo wao ‘Nisome’ jijini Arusha hivi karibuni.
Previous Post Next Post