Music: Dabo ~ i Love You

Sikiliza wibo mpya kutoka kwa DABO, Siku ya leo Msanii wa Ragga/Dancehall Dabo ambao aliwahi kushinda tuzo wa KTMA 2014 ana funga ndoa na pia anachia ngoma mpya inaitwa "I Love You". Tumpe Dabo support na hongera kubwa.

 

Sikilza na kuipakua hapa
Previous Post Next Post

Popular Items