Hot Pics: Mchumba wa Nay wa Mitego, Siwema ni mjamzito tena!

Mwanadada Siwema Baada ya kuharibika kwa mimba ya kwanza ya mchumba wake Nay Wa Mitego, Siwema, hatimaye mwanadada huyo anatatarajia kuwa mama tena na anatarajia kujifungua hivi karibuni.



Nay wa Mitego akiwa na mpenzi wake Siwema

“Umemuona mama kijacho,” Nay alimwambia wa mwandashi wa tovuti ya Bongo5 baada ya Ney wa Mitego kutembelewa na mpenzi wake katika uwanja ndege wa Mwanza akijiandaa kuekelea Dar es salam, huku akicheka na kuendelea kumpiga mabusu mpenzi wake huyo anayeishi jijini humo.

Hii ndio gari alilokuja nalo Mwanadada Siwema

 

Nay akizungumza na mpenzi wake Siwema

Via:Bongo5
Previous Post Next Post

Popular Items

EXPENSIVE THING OF THE DAY

New Music: Blue - Pesa