Leo mwanadada Kajala Masanja wa bongomovies anasherehekea siku yake ya kuzaliwa. Kajala anakuwa msanii mwingine wa bongo movies kusherekekea siku hiyo katika kipindi cha ndani ya siku saba baada ya wiki iliyopita mwigizaji mwingine maarufu Mahsein Mohamedi maarufu kama Dr. cheni kusherehekea tukio kama hili.
Kama ilivyo ada wasanii na watu mbalimbali wamempa salamu za pongezi mrembo huyu, na zifuatazo ni baadhi ya salamu hizi toka kwa watu mbalimbali maarufu nchini.
Iliyotugusa sana ni ya kwanza toka kwa mrembo Elizabeth Michael aliyeandika…
“…Ur lyk a sister, afriend n a person dat i will never 4get...we shared some gud moments together but also we shared bad moments together.....!!i wish u cud see me wen am writting dic...am jus crying here!!!n'wei....MAY GOD BLESS YOU MAH...juc enjoy ur day!!!HAPPY BIRTHDAY TO YOU My dada,my friend,my cha kulialia,nyapara wangu,mjela jela mwenzangu...mhhh!!!li thnk i dnt have to go back dea....Have a gud one....!!!♥♥♥♥
Wema sepetu naye akaandika….
happy birthday me corazon... i jus love u so much... u hav all da blessings u need..
Ben Pol ( Mwanamuziki wa bongo fleva akaandika)
Happy Birthday Ms. Kajala
Kajala Mwenyewe aliandika…
On the 22nd of July a girl was born, a very ordinary yet very extraordinary girl... bin thru it all, and still can take watever destiny has for me.. I thank da lord almighty to still give me more chances to experience all this nd still hav beautiful memories to still make... A very happy birthday to me, myself n I... Kajala Masanja....
Salamu hii toka kwa Petit Man Wakuache imetufanya tutafakari kidogo (???), yeye ameandika ..
May you never stray from the true path as you continue your amazing journey. Happy birthday My baby.... the Girl am Inlove with............
Bongomovies.com Tunapenda kumpongeza kajala katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa na kumtakia kila la Kheri katika Maisha yake....Happy birthday Kajala