Kombe la dunia la Mpira wa Kikapu lafikia hatua ya Robo Fainali

Michuano ya kombe la dunia ya mpira wa kikapu mwishoni mwa juma lililopita iliingia kwenye hatua ya mtoano na tayari timu kadhaa zimepiga hatua na kuingia kwenye hatua ya robo fainali.




Michezo iliyochezwa usiku wa kuamkia hii leo ilishuhudia;

New Zealand 71–76 Lithuania

Serbia 90–72 Ugiriki

Uturuki 65–64 Australia

Brazil 85–65 Argentina



Kwa mantiki hiyo sasa katika hatua ya robo fainali timu ya taifa ya:

Lithuania vs. Uturuki

Slovenia vs. Marekani

Serbia vs. Brazil

Ufaransa vs. Hispania

Michezo ya hatua ya robo fainali itaanza kuunguruma Septemba 9 na 10
Previous Post Next Post

Popular Items

EXPENSIVE THING OF THE DAY

New Music: Blue - Pesa