Video: Majibu ya Davido alipoulizwa juu ya beef yake na Wizkid

Ni muda sasa baada ya beef ya kwenye mitandao ya kijamii iliyokuwa ikiendelea na akuna ukweli wowote kuwa beef hiyo kati ya Davido na Wizkid, kupitia mitandao ya kijamii kila mmoja kutweet vijembe kwa mwenzake .



Hivi karibuni Davido akiwa kwenye tour za kimuziki nchini marekani alipata kuhojiwa na SAHARATV na kuhulizwa juu ya beef yake na Wizkid na haya ndiyo majibu aliyoyatoa



Previous Post Next Post