Hawa ndiowaigizaji wa kike wanaolipwa fedha nyingi zaidi Hollywood 2013-2014

Forbes imetoa orodha ya waigizaji wa kike wa Hollywood ambao wamelipwa pesa nyingi zaidi katika kipindi cha kati ya June 2013 na June 2014 kupitia filamu (Hollywood’s Highest Paid Actresses).




Miongoni na waigizaji walioingia kwenye Top 10 ni pamoja na Sandra Bullock, Angelina Jolie, Jennifer Lawrence na Cameron Diaz.

Hii ni Top 10 List:

1. Sandra Bullock – $51million – mostly from her movie, Gravity
2. Jennifer Lawrence – $34million – mostly from her franchise movie, Hunger Games
3. Jennifer Aniston – $31million – From Friends, endorsement deals and small budget movies
4. Gwyneth Paltrow – $19million – From Iron Man 3 and endorsement deals
5. Angelina Jolie – $18million – Part-payment for Disney film – Maleficent
6. Cameron Diaz – $18million – Mostly from her movie, The Other Woman
7. Scarlett Johansson – $17million – Mostly from Avengers and endorsement deals
8. Amy Adams – $13million – From Man of Steel, American Hustle
9. Natalie Portman – $13million – mostly from Thor 2
10. Kristen Stewart – $12million – from upcoming films, American Ultra and Still Alice
Previous Post Next Post