Baada ya ugomvi Nuhu Mziwanda 'akiri kuwa awezi kusihi bila Shilole, ' i love my baby yameisha nitaishije bila yeye'

Jana tulipost habari juu ya ugomvi uliotokea kati ya Shilole na Mpenzi wake Nuhu Mziwanda, na kupitia XXL Gossip ya Clouds Fm, Nuhu Mziwanda aliweza kufunguka na kuleza mkasa mzima ulivyokuwa na mpka kufikia hatua ya Shilole kumzuia Nuhu uchukua vitu vyake nyumban kwake, 'Ni shida!' kama aukubaatika kuisoma na kmsikia Nuhu akifunguka ugomvi mzima msikilize hapa



Leo kupitia mtndao wa Instagram waili hao kila mmoja kwa wakati wake amepost picha na kuandika ujumbe, Nuhu aliandika ujumbe huu  'I love mmy babay yameisha!!nitaishije bila yeye kwa mfano #teamWIVU'  





Shilole naye alipost picha akiwa na nuhu mziwanda na kuandika "Ilove my baby!

So kwa maana hiyo wawili hawa wamekaa na kuyamaliza na akuna ugomvi tena kati yao.

Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA