Tyga aachana na mama wa mtoto wake Blac Chyna 'Picha'

Rapper Tyga wa Young Money na mpenzi wake waliodumu kwa zaidi ya miaka miwili, video vixen na model Blac Chyna Inadaiwa kuwa wameachana.




Couple hiyo ilianza kudate mwaka 2011, na mwezi Octoba ya mwaka uliofuata (2012) walifanikiwa kupata mtoto wa kiume waliyempa jina la King Cairo Stevenson ambaye Octoba mwaka huu tatimiza miaka miwili.







Chanzo kimoja kimeueleza mtandao wa TMZ kuwa Tyga ndiye aliyemuacha mrembo huyo japokuwa bado sababu ya kutengana haijafahamika.




Blac Chyna na Tyga licha ya kuwa wazazi wa mtoto wao mmoja lakini pia waliingia katika hatua ya uchumba mwezi desemba 2012.

Tazam picha za zaidi za Blac Chyna








Previous Post Next Post