New Video: Victoria kimani f/ Diamond Platnumz & Ommy Dimpoz - Prokoto

Mwanadada kutoka  Kenya amabeye yupo katika lebo ya Chocolate City ya Nigeria, Victoria Kimani ameachia video yake mpya ya ‘Prokoto’ aliyowashirikisha mastaa wa Bongo Diamond Platnumz pamoja na Ommy Dimpoz.



Katika wiki chache zilizopita Victoria Kimani wiki chache zilizopita alimleta director wa Kenya, Kevin Bosco Jr na kushoot ‘Prokoto’ katika mazingira ya Dar es salaam. Audio imefanywa na producer Tudd Thomas.

Itazame hapa;

Previous Post Next Post