Picha: Mtoto wa Kimkanye North West, aingia kwenye modelling akiwa na miezi 13 tu!

Mtoto wa Masuperstar Kim Kardashian na Kanye West, North West ana umri wa miezi 13 tu lakini tayari makampuni ya urembo yameanza kumtumia kwenye matangazo.



North ametokea kwenye jarida la mitindo la CR Fashion Book, akiwa amevaa nguo za brand ya Chanel.
Previous Post Next Post

Popular Items

EXPENSIVE THING OF THE DAY

New Music: Blue - Pesa