Muonekano Mpya wa Nazizi baada ya kuzifnya hivi rsta zake

Mwimbaji kutoka kenya anayeimba miondoko ya Ragger Nazizi ameamua kuongeza urembo kwenye rasta zake kwa kuzikata upande mmoja.Kutokana na muonekano huo mpya, Nazizi anadai kupokea meseji nyingi kutoka kwa watu wake wa karibu wanaotaka kufahamu kama kazikata zote.



“So here we go #freshcut #Rasta #rootsie #firstlady #barefoot #general gat a million texts nd msgs asking bout the locks!! They r safe,” ameandika kwenye picha aliyoipost instagram





Previous Post Next Post