Kim Kardashian aanza rasmi kutumia jina la ‘Mrs West’

Ikiwa ni baada ya siku 74 kupita tangu rapper Kanye West na Kim Kardashian wafunge pingu za maisha, star wa reality show ya ‘Keeping Up With The Kardashians’ ameanza kutumia rasmi jina la mume wake kisheria Mrs West.



Kupitia Instagram yake mama North West amepost picha mpya ya pasipoti yake na kuandika, “New passport pic #Mrs.West #NameChange.”
Previous Post Next Post