Baba yake na Beyoncé anadai kuwa mwanae na Jay Z walisambaza kwa makusudi tetesi za talaka ili, soma zaidi

Baba yake na Beyoncé anadai kuwa mwanae na Jay Z walisambaza kwa makusudi tetesi za talaka kukuza mauzo ya tiketi za ziara yao ya ‘On The Run’.



Mathew akiwa na mwanae Beyonce

Mathew Knowles alitoa kauli hiyo ya kushtusha alipokuwa akihojiwa katika The Roula And Ryan Show kwenye kituo cha redio cha 104.1 KRBE mapema wiki hii. Mathew amedai kuwa mambo kama hayo hufanyika na huitwa ‘Jedi mind trick’. Kwa mujibu a mtandao wa Radar Online, Mathew alidai kuwa hata yeye ameshafanya hivyo wakati wa ziara.



Alipoulizwa kama ile clip ya Jay Z na Solange wakigombana kwenye lift kama walitaka pia itoke, Mathew alijibu: ‘All I know is the Jedi mind trick. Everyone’s talking about it. Ticket sales went up. Solange’s album sales went up 200%!’


Previous Post Next Post

Popular Items