Shilole na Nuhu Mziwanda watibuana

Msanii  Nuh Mziwanda aliyejichora tatoo yenye jina la Shilole, wametibuana na shilole na mpaka Nuhu anaamua kuondka nyumbani kwa shilole, kweli mahsuiano yamefikia pabaya, ila kuna stori zilisambaa sana na wengi walikua wakijiuliza siku ikitokea  Nuhu ameachana na Shilole itakuaje hasa upande wa Nuh ambaye ndiye aliyejichora tatoo hiyo.



Maelezo ya Nuh Mziwanda yamedai kuwa sababu zilizosababisha waachane ni msg ambayo aliikuta kwenye simu ya Shilole ambayo inasemekana ilitumwa na mwanaume,Nuh alipomwambia Shilole apige alionekana kunikanyanga.



Nuh Mziwanda kaongea na Soudy Brown kwenye You heard na kazungumza mambo mengi ambayo yametokea kwenye uhusiano wao.

Msikilize hapa akifunguka










Previous Post Next Post

Popular Items

EXPENSIVE THING OF THE DAY

New Music: Blue - Pesa