Picha: Rapper young killer akiwa na Mama yake mzazi

Rapper Young Killer a.k.a Msodoki na Hit Maker wa My Power alishare picha hzi akiwa na mama yake mzazi katika moja ya mitandao ya kijamii, unapomuongela Rapper huyu mdogo kwenye gemu ila uwezo wake umeoneka kukubalika na watu wengi na hata kumjengea mashabiki wengi mpaka hivi sasa kwani ndiye Hit Maker wa ngoma ya Mrs Super Star



Rapper Young Killer mwenye nyimbo kama Dear Gambe Na Mrs Super Star Akiwa Na Mama Yake, 


Kwenye Picha Hii Killer Aliandika "Je..?ni.nani kama...mama? "


Previous Post Next Post