Picha: Huu ndio muonekano mpya wa Criss Brown

Mwanamuziki Criss Brown baada ya kutoka jela, alioanekana kubadilika umbo na kunenepa kiasi cha wengi kuhisi aliishi maisha mazuri akiwa jela.


Mwimbaji huyo wa New Flame ameonekana kuendeleza mabadiliko kwa kutengeneza mtindo mpya wa nywele na kuzitoa rangi za awali zilizokuwa kichwani kwake.


Pichani ni Mkali wa R&b Criss Brown katika muonekano wake mpya wa Nywele
Previous Post Next Post

Popular Items

EXPENSIVE THING OF THE DAY

New Music: Blue - Pesa