Picha : Hii ndio kava ya wimbo mpya wa Young Killer ft Banana Zoro 'Umebadilika'

Katika siku ya jumanne ya July 22 Rapper Young Killer ataachia wimbo wake mpya aliomshirikisha Banana Zoro wimbo unaitwa  ‘Umebadilika katika wimbo huu utaweza kumsikia Young Killer akibadilika kwani sio kama tulivyozoea kwa Young Killer Kurekod kupitia studio zingne tofauti na alivyofanya sasa kwani wimbo wake  huu mpya ameamua kuurekodi  katika studio za Combination Sound Chini ya Producer ManWalter .So sio vibaya ukisiniria uji mpya wa Young Killer ft Banana Zoro Jully 22.

Kava Mpya ya wimbo wa Young Killer ft Banana Zoro 'Umebadilika'




Previous Post Next Post