Rapper na producer wa Marekani, David Banner jana amekutana studio jijini Dar es Salaam na watayarishaji wa muziki wakiwemo P-Funk, Nahreel na Lamar.

Lamar, David Banner, Nahreel, Majani na Ema The Boy
Banner ambaye alikuja pamoja na wageni wengi kutoka Marekani akiwemo mtangazaji wa zamani wa kipindi cha 106 n Park cha BET, Terrence J, amepost picha Instagram akiwa na maproducer hao na kuandika: Doing music in Dar es salam helping create a movement @ematheboy @triple a @nahreelbeatz @majani187 @ezekielmwaja @nashdesigner @lamarfishcrab.”

David Banner ni producer maarufu Marekani na amewahi kutengeneza nyimbo kama “Rubberband Man” ya T.I., “Get Like Me” (featuring Chris Brown & Yung Joc), “Shawty Say” (featuring Lil Wayne) na zingine.

Tags:
celebrity Photos