Bondia Floyd ‘Money’ Mayweather’ amekanusha ripoti kuwa aliwahi kukiri kuwa anatembea na mke wa T.I., Tiny wakati akiongea na waandishi wa habari kabla ya pambano lake na Marcos Maidana.

Kupitia Instagram, Mayweather ameandika:
At the press conference, I said “… he thinks I was f*cking his b*tch”. I DID NOT say “… I was f*cking his b*tch”. I’ve never been with Tiny sexually. I respect her situation and I thinks she’s a good person. I would never disrespect a marriage. #Mayhem on September 13th.
Mayweather na T.I. wamewahi kupigana kutokana na tetesi hizo.
Tags:
Entertainment