Picha : Davido atoa zaidi ya Milioni 60 kununua hii saa

Mwimbaji wa muziki na mshindi wa tuzo za BET INT kwa upande  wa Afrika kutoka Nigeria hit maker wa ‘Aye’, Davido ameamua kuzitumia ipasavyo pesa anazozikeshea na kuzitolea jasho.












Endelea kupata Habari Zaidi Kila siku Kutoka BONGO61.COM  Kwa Kijiunga Hapa Buree!.

Davido ametumia kiasi cha $35,713 zaidi ya milioni 60 za kibongo katika kununua saa hiyo ya dhahabu aina ya ‘Gold Rolex Sky-Dweller’.






Endelea kupata Habari Zaidi Kila siku Kutoka BONGO61.COM  Kwa Kijiunga Hapa Buree!.

Previous Post Next Post