Video: French Montana F/ Fabolous & Wale – ‘R&B Bitches’ [Trailer]

Rapper French Montana ameshare ndoto zake katika hii video mpya aliyoifanya, hii ni katika ngoma yake mpya aliyowashirikisha Fabolous na Wale.



Tazama kipande hiki kifupi cha video hiyo kabla ya  official video kutoka July 23.
Previous Post Next Post