Nigeria imeondolewa ile marufuku iliyowekewa na FIFA

Shirikisho la soka duniani FIFA limeondoa marufuku lililoiwekea Nigeria isishiriki mashindano yoyote ya kimataifa.



Shirikisho hilo lilikuwa limeipiga marufuku Nigeria kutoshiriki katika michuano yoyote ya soka ya kimataifa mapema mwezi huu kwa kuwa serikali ya Nigeria iliingilia uongozi wa shirikisho hilo nchini Nigeria.

Endelea kupata Habari Zaidi Kila siku Kutoka BONGO61.COM  Kwa Kijiunga Hapa Buree!. au like Facebook Fan Page yetu na Twitter ili kupata kila habari

FIFA imeamua kuchukua uamuzi wa kuondoa marufuku hiyo baada ya mahakama kuondoa agizo la kuwatoa baadhi ya maafisa wakuu wa shirikisho hilo nchini Nigeria.
Previous Post Next Post

Popular Items

EXPENSIVE THING OF THE DAY

New Music: Blue - Pesa