Picha: Maandalizi ya Mwisho Kili Tour Iringa

Wakazi wa Iringa wanatarajia kuishuhudia Kilimanjaro Music Tour itakayofanyika uwanja wa Samora jioni ya leo. Wasanii wanaotarajia kupanda jukwaani katika onyesho hilo ni Snura, Rich Mavoko, AY, Mwana FA, Profesa Jay, Mwasiti, Izzo Bizness, Linex, Nikki wa Pili, GNako Warawara na Joh Makini. Hizi ni baadhi ya picha toka maandalizi ya show hiyo.

 Muonekano wa Uwanja wa Samora toka kwa nje

 Maandalizi ya nyamachoma na vyakula kwa ajili ya mashabiki watakaoingia uwanjani

 Bia za Kilimanjaro zikishushwa katika eneo la Bar
  AY na DJ Mafuvu wakifanya mazoezi ya sauti
 Sam Misago wa EATV akimpiga picha Mwana FA wakati akifanya mazoezi
  Izzo Bizness akifanya mazoezi jukwaani
 Snura na Sam Misago
 Profesa Jay katika interview Ebony FM
 Mwasiti akieleza alivyojipanga na show
 Snura, Rich Mavoko, Izzo Bizness na Nikki wa Pili wakisubiri kufanyiwa mahojiano Ebony FM
 Sam Misago na Eddo Mnyama ndani ya Ebony FM
Previous Post Next Post