Music: Doriv - Kamshange

Doriva Ni kundi jipya lenye raia Wanne (Ibra,Mubanda,Kenny na Dwenga) hii ndo singo yao mpya na ya kwanza,



Ngoma imefanyika Bokazy Ent (Boyz of Kazy) chini ya producer Man DvD, sikiliza na kuidownload hapa



Previous Post Next Post