Video : T.I - Turn It

T.I ameachia video ya wimbo wake ‘Turn It’ ambao umetayarishwa na DJ Toomp na video imeongozwa na Phillyflyboy.



 Wimbo huu uko kwenye mixtape ya DJ MLK inayoitwa ‘Goodnight Don’t Exist in ATL 4..

Previous Post Next Post