Music: Diamond Platnumz ft Davido - My Number 1 Remix [ Elctro House] 'Produced by Lamar

Yule Producer aliyeifanya ngoma ya moyo wangu ya Diamond Paltnumz, Producer Lamar akishirikiana na kipindi cha XXL, ameanzisha mradi wa kuzirudia nyimbo zilizohit nchini na kuzitengeneza katika mfumo wa Electro House kwaajili ya kuparty zaidi. Hii ni version yake ya wimbo wa Diamond na Davido.



Sikiliza hapa ngoma Mpya ambayo imefanyiawa The Refix Diamond akimshirikisha Davido ngoma “Number One Remix”


Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA