Picha : Zicheki Picha za Tattoo Mpya Ya Agnes Masogange

Video queen maarufu Tanzania Agness Masogange uliyemuona hvi karibuni kwenye video ya Tunda Man ft Ali Kiba, Msambinugwa ameongeza tattoo nyingine kwenye mwili wake, Tattoo hii inaujumbe kwa watu kuwa Huru zaidi na kujiamini duniani.



Previous Post Next Post