Video : Aliyedaiwa kumuua 2Pac akiri kuwa, bado yuko hai.

Rappa mkongwe katika game maarufu kama Suge Knight, aliyedaiwa kuwa ndiye aliyefyatua risasi na kumuua 2Pac Shakur, amefunguka hivi karibuni na kudai kuwa 2pac hakufa siku ile kama ilivyokuwa imeripotiwa.



Akiongea na chombo cha habari kimoja nchini marekani(TMZ) alisema, kama kweli 2pac aliuawa siku ile na yeye ndiye aliyempiga risasi, kwa nini hadi leo yeye hakufungwa, na kama yeye siye aliyemuuwa 2Pac, kwanini watu hawajiulizi hadi leo kuwa, hakuna mtu aliyekamatwa kwa kosa la kumuua 2Pac, angalia video hii akiongea live;

Previous Post Next Post

Popular Items