Picha: Fashion Poll, Je lupita nyongo amependeza katika vazi hili alilovaa?

Leo nimekutana na picha hii ya Lupita nyongo katika mitandao na blogs za marekani, nikaona sio vibaya tukishare wote mawazo na tukapata kujua kama Lupita nyongo alitokelezea kwenye tuzo za MET GALA zilizofanyika huo marekani.



Je unadahni Lupita nyongo alipendeza katika vazi hili alilovaa? tupe mawazo yako hapo chini







Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA