Picha: Huyu ndiye Mama mzazi wa Rapper Cpwaa, Embu niambie how she look!!!

Mama mzazi wa Cpwaa (Aunt Sophie, kama anavyojulikana na wengine) ni mrembo na anaonekana kijana licha ya kuwa na mtoto mkubwa, Ilunga Khalifa. Rapper huyo amepost picha zake na mama yake wakiwa kwenye harusi ya ‘family friend’ hivi karibuni.

Cpwaa akiwa na mama yake mzazi




Baadhi ya marafiki wacpwaa walisema hivi..,
Juliet Leodgard; she is so cute an lovely jamani
Ally Mohamed Diwani: Shez beautiful CP, u shud be very thankful dat she did the best with u am sure shez very proud ov u nyc pic
Gloria Kobb: Aunty Sophy jamani hazeeki! Still so beautiful, msalimie sana!
Mwamy Sir-Ed: Mmependeza sana ma mdogo still anadaije jamani mkwe inabidi ajipange sana

Photo Crdeit: Pwaa.com
Previous Post Next Post