Video: Izzo Bizness feat. Hanspuff-Tumoghele

Tazama video mpya ya wimbo wa Izzo Bizness ‘Tumoghele’ aliyomshirikisha Hanspuff. Video imeongozwa Nick Dizzo na humo ndani utamuona Quick Rocker akimuunga mkono Izzo kucheza na kuwakilisha jiji la Mbeya kwa mtindo wa aina yake.


Itazame Hapa chini..!


Previous Post Next Post