Wema Sepetu: "Kama ni mshenzi ndo wangu, tahira wangu, Call me stupid, crazy or whatever but dats jus reality.... Love him jus like dat..."

Baada ya Ommy dimpoz kuweka picha katika mtandao wa Instagram akiwa na Dimond platnumz na Victoria kimani taarifa zilisambaa kwamba wema sepetu alivamia studio hiyo na kuanzisha ugomvi.



Wema ameamua kujibu mapigo hayo baada ya kuachia picha ya mpenzi wake huyo akiwa kitandani 


na alama ya kiss shavuni na kufuatia na ujumbe huu mzito

” Da love of my life…. Dats wat he is…. Our life, our rules…. Sipendi watu wanavyoingilia my love life kabisa…. I am his nd he is mine… dats jus it…. Kama ni mshenzi ndo wangu, tahira wangu, hafai ndo tayari wangu…. Love him jus like dat…. Mapenzi huwa hayaingiliwi hata siku moja…. Nd dey say wapenzi wakigombana chukua jembe ukalime, hawakukosea at all… With all due respect stop

Je wewe unauonaje ujumbe huu wa Wema Sepetu kwa Wabaya wake..!



Previous Post Next Post

Popular Items