Picha: Picha kali za Model Hamisa Mobeto ambazo ujawai kuziona, Must See this!

Mrembo Hamisa Mobeto ni miongoni mwa wanamitindo wa Tanzania walio kwenye orodha A kwa sasa. Hizi ni picha zake za hivi karibuni ambapo miongoni mwake alipiga akiwa ameshika joka kubwa.







Tuambie Hamisa Mobeto ni Mrembo kiasi gani! au unaweza kumfananisha na Mwanamitindo gani Maarufu Duniani?
Previous Post Next Post