Picha: Jose Chameleone uesabu pesa zake namana hii

Unapomuongelea Jose Chameleone unamuongela msanii ambaye ni legend katika muziki na ni mmoja kati ya wanamuziki wa Afrika ambaye aliwahi kutajwa kuwa ana utajiri mkubwa sana.

Kwenye hii picha Jose Chameleone anaonekana akitumia mashine ya kuhesabia pesa akizihesabu dola mia za kimareakani zikiwa kwenye mafungu makubwa ndani ya begi.


Utajiri alionao Jose Chameleone ni  mkubwa na anamiliki magari mengi kama escalade, studio ya muziki, mijengo tofauti ukiachilia mbali vitega uchumi vingine vinavyomuingizia kipato na kuongeza utajiti wake ukiachilia mbali muziki anaoufanya.




Previous Post Next Post