Masanja Mkandamizaji ambae anatajwa kuwa miongoni mwa wachekeshaji wachache wa Tanzaniawaliofanikiwa kimaisha, amesema ‘Mungu wangu ni mzuri, asante Mungu kwa kunipendelea… usafiri huu kwangu ni muujiza’
Hii ndio gari aliyoinunua Masanja mkandamizaji ni aina ya V8!