Hoja:Nini kinavunja ndoa nyingi siku hizi?

Kuvunjika kwa ndoa ni jambo ambalo katika jamii nyingi za kiafrika lilikuwa gumu kutokana na misingi ya tamaduni na mila ambazo zilikuwa na mbinu za utatuzi wa migogoro na kuhakikisha wanandoa hawaachani.

Lakini kadri ya miaka inavyozidi kwenda mbele inaonekana ni rahisi wanandoa kufikia hatua ya kutamkiana wazi kuwa sasa basi na kweli inakuwa basi.


Wazee walioishi chini ya mila na desturi za zamani wanakosoa mfumo wa ndoa uliopo sasa na kudai kuwa mifumo yao ya kale ilikuwa mizuri. Kwa nini Ndoa zinavunjika kwa urahisi siku hizi?Je mifumo ndio mibaya au?


Sikiliza katika media player


Jiunge na mjadala huu kwenye ukurasa wetu wa Bofya Fecebook

Msikilize Chief wa Jadi aitwaye Mleshelwa Mwene Nzunda kutoka wilayani Mbozi mkoani Mbeya pamoja na baadhi ya wanandoa na watarajiwa wa sasa.


Chanzo:BBc
Previous Post Next Post

Popular Items

EXPENSIVE THING OF THE DAY

New Music: Blue - Pesa