Picha: Iyanya awakumbuka Baba,Mama na Kaka yake kwa Kuchora Tatoo

Msanii kutoka nigeria anayetamba na nyimbo hit kibao ameonyesha tatoo yake mpya iliyo na maana kwa watu wake wa karibu waliopotea katika muda wa miaka miwili .
Iyanyaamepost picha mpya ikionyesha tatoo yake mpya ambayo ina majina ya mama na baba yake pamoja na kaka yake ambao wote pamoja walifariki kwenye kipindi kifupi cha miaka 2 kati ya 2008 na 2010.


Baba yake alifariki wakati Iyanya anajiandaa kuingia kwenye mashindano ya MTN Project Fame West Africa Season 1 ambapo ndipo alipotokea kwenye muziki.
Caption ya picha hiyo ameandika hivi ,“Tattoo of my Late Dad !! Late Mum and Late Brother who all died in just a short time between 2008- 2010 RIP”.
Previous Post Next Post