Picha: Wajue mastaa ambao ni wakali wa kijipiga Photogenic Tanzania

Bongo61 inakuletea list ya mastaa wakali ambao hupenda kupiga picha za 'selfie' au mtu yoyote kutaka kuwapiga picha basi tegemea picha moja kali sana na hii ndio maana nzima ya mrembo kuwa photogenic au Selfie na hawa ndio Mastaa waliofanikiwa kuingia katika list ni :-


Jokate Mwigelo



Linah Sanga


Elizabeth Michael 'Lulu'

Madame Ritha



Irene Uwoya


Wema Sepetu


Jackline Wolper


Katika picha hizo hapa juu unaweza kutumbaia nani ni nkali photogenic katika Mastaa hawa wa Tanzania? Nani anafaa kushika NO 1?
Previous Post Next Post