Nani Zaidi: Wema Sepetu au Jokate Mwengelo



Wema Sepetu na jokate mwengelo ni kati ya wasichana warembo hapa bongo na role models. Wote mwanzo wao ulitokana na mashindano ya miss Tanzania ya mwaka 2006 ambapo wema sepetu aliibuka mshindi wa kwanza huku jokate akikamata namba mbili.


Najua huwezi kumuongelea wema sepetu au jokate bila kumuingiza diamond platnumz kidogo. Mnamo mwaka 2010 hadi 2011 diamond alianza kwanza kumdate mshindi wa kwanza wa miss tz jokate na kuachana nae na kuamia kwa mshindi wa pili yaani wema. Je, diamond nae alikua anataka kujibu swali tunaloliuliza ?  na kama amelijibu inabidi kushare jibu ilo na mashabiki tukajue.


Wema na jokate wote wanafanya movie na vigumu kujua nani zaidi katika uigizaji wa movie sababu kila mtu anasababu yake ya kumkubali mmoja wao.Twende kwenye fashion wema na jokate wamekua role models wa warembo wengi katika swala la uvaaji.


Tukija kwenye Ujasiriamali wema na jokate hawapo nyuma. Wema alianzisha kampuni yake ya Endless Fame Films ambayo inatengeneza bongo movies. Pia wema anakipindi chake cha TV kinachoitwa In My Own Shoes kinachooneshwa na Channel 5EATV. Tukija kwa Jokate mwengelo kikubwa kwake ni product ya Kidoti inayompa chati sana ukiachana na kazi ya utangazaji anayofanya kwenye channelO ya Afrika Kusini.


Hata vibe magazine tuliliona hilo na kuamua kuwaweka wema na jokate katika coverpage wakati ndio kwanza kuna issue tatu tu huku nyingine ikiwa ni kijana aliyewahi kuwadate wote diamond platnumz.


tupe maoni yako hapo na nani makai kati ya wema sepetu mi 

Previous Post Next Post