New Video: Rose Muhando – Wololo

Mwimbaji mahiri wa miondoko ya Gospel Tanzania, Rose Muhando ameachia video yake mpya hivi karibuni iitwayo Wololo ambayo ameifanya akiwa chini ya kampuni ya music ya Sony. Pia mwimbaji huyu wa Gospel amekuwa moja ya wasanii wakubwa kuwa certified kutumia mtandao wa Vevo kutoka Youtube. Tazama hapa wimbo wake huo mpya …



Tazama Video Mpya kutoka kwa Rose Muhando aliyoifanya chini ya kampuni ya Sony Music Africa na Kusimamiwa na Vevo

Previous Post Next Post

Popular Items