Mbunge wa Monduli Edward Lowassa Anusurika na Ajali Baada ya Aliyokuwa Akisafiria Kupasuka Tairi

Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa  wakiwemo na Abiria Wengine wamenusurika kifo, baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria kupasuka matairi yote manne ya nyuma wakati ilipokuwa ikitua katika uwanja wa ndege wa Arusha mchana mchana huu.


Ndege hiyo ya shirika la ndege la Precision aina ya ATR ilipata ajali hiyo wakati ikitua. Matairi yote manne ya nyuma yamepasuka na kusababisha taharuki kubwa kwa abiria.



Picha ya Ndege la Precision Air Iliyopasuka Matairi

Shirika la ndege la Precision limetoa taarifa kufuatia hitilafu hiyo.

PUBLIC NOTICE – OFFICIAL STATEMENT

Precision Air Flight 422, a flight from Dar es Salaam to Arusha, using ATR 42-600 (code number PWI) departed Dar es Salaam without incident at 11:20am today, 13 December 2013, carrying 37passenger on board. Upon landing in Arusha the aircraft experienced tyre deflation.

All 37 passengers and 4 crews on board are safe.

Due to this, several flights have been impacted and arrangements have been made to re-route some of our flights to uplift our passengers to their various destinations as planned. All direct flights to and from Arusha have been re-routed to Kilimanjaro as per below table due to space constraints in accommodating two ATRs at once at Arusha Airport.
Previous Post Next Post

Popular Items