PICHA: NANDO AAMUA KWENDA KKUMUONA FEZA NA ONEAL BOTSWANA ..PARTY MWANZO MWISHO

Nando alitweet baada ya kuwasili nchini humo. Kama ulikuwa unajiuliza mbona Feza haonekani katika viota vya jiji la Dar es salaam, ni kwasababu amerudi tena Botwana kwa mpenzi wake Oneal, huenda tukasikia habari njema za muungano wao (ndoa) siku za karibuni, who knows!

Mapenzi, urafiki na undugu uliozaliwa katika jumba la Big Brother ‘The Chase’ unaendelea kuimarika kati ya washiriki wa mwaka huu, Couple ya Oneal na Feza (ONEZA) ambao kwa sasa wako Botswana weekend iliyopita walipata ugeni wa Ammy Nando kutoka Tanzania.

Ni mwendo wa bata tu kwa washiriki hao, (Novemba 3) ilifanyika party nyingine ya kifamilia zaidi ambayo ONEZA waliungana na mgeni wao Nando lakini alikuwepo mshiriki mwingine wa ‘The Chase’ Sulu kutoka Zambia.

Jana Feza aliweka picha Instagram ikiwaonesha wakiwa safarini kwa barabara wakielekea ‘Francis Town’ ambako walikuwa na party nyingine usiku wa jana

Feza, Nando na Oneal wakielekea Francis Town, Botswana

Pia Nando alitweet

Picha hii ilisindikizwa na caption “Hanging Out with Tha Crew @FezaKessy @Onizee ….Good Weather Good People Beautiful BOTSWANA! Amen”

Picha: Instagram/Twitter: Nando, Feza

Previous Post Next Post