PICHA ULIYOIMISS KUTOKA INSTAGRAM: DIAMOND PLUTNUMZ AZIONYESHA DOLA ZAKE ZILIZOZUNGUSHIWA CHENI ZA GOLD KAMA RUBBER BAND

Rubber band for what…???? Money is tied by Money #USD #Gold #Valuables #WCB for Life mama,” ameandika Diamond kwenye picha inayoonesha ‘burungutu’ kubwa la noti za 100 za dola ya Marekani zilizozungushiwa na cheni ya dhahabu.


Money rules everything around us, need we say more?
Diamond Plutnumz ndiye msanii anayeongoza kwa kulipwa kiasi kikubwa katika shoo zake zote anazofanya khali hii inampelekea kujikuta akivuta mkwanja mrefu zaidi ya wasanii wengine woote bongo
Previous Post Next Post

Popular Items