COLLABO YA R KELLY NA JUSTIN BIEBER, WIMBO HUO KUTOKA WIKI IJAYO

Mashabiki wa mfalme wa R&B R.Kelly na mashabiki wa Justin Bieber watarajie kupata collabo kati ya wakali hao, inayotarajiwa kutoka hivi karibuni.


Justin Bieber na R.Kelly

Robert Kelly amethibitisha juu ya collabo hiyo baada ya kuwepo kwa uvumi juu ya wawili hao kutoa wimbo wa pamoja, uvumi ulioanza kuenea wiki mbili zilizopita.

“I just did a song [with him], [Justin] just called me to do a song and it’s hot. He wanted to go and do some R&B stuff so we got together and did that.” R.Kelly ameiambia VIBE wiki hii wakati wa party binafsi ya kusikiliza albam yake mpya ‘Black Panties’ inayotarajiwa kutoka (December 10) mwaka huu.

Kupitia twitter Justin Bieber pia amethibisha kuwa wimbo huo alioshirikiana na R.Kelly utatoka mapema wiki ijayo.

Previous Post Next Post