PICHA: NAKAYA AMUONYESHA MTOTO WAKE KWA MARA YA KWANZA BAADA YA KUJIFUNGUA

Mwanamuziki Aliyehit na Wimbo wa ‘Mr Politician’ Nakaaya Sumari is now a mom, baada ya kujifungua mtoto wa kiume (October 5) Nakaaya amemtambulisha kwa ulimwengu mwanae aitwaye ‘KAI SAMUEL’ kwa kushare picha zake kupitia Instagram.






Mtoto wa Nakaaya aitwaye ‘Kai’


Nakaaya alisindikiza picha hizo na ujumbe huu,

“Im blessed to be your mother. You are the most beautiful person i have ever seen son. Mungu wetu akuinue na damu ya Yesu kristo wa Nazareth ikufunike. In Jesus name. Nakupenda sana mwanangu mzuri”.
Previous Post Next Post