PICHA: KISIWA CHA MBUDYA CHAMPAGAWISHA ALAINE MSANII NI KUTOKA JAMAICA ALIYEPERFOM FIESTA

Si tu Iyanya aliyeipenda Tanzania na kuahidi kurudi tena siku za usoni, bali pia Alaine ambaye maelezo yake yanaonesha kuondoka na kumbukumbu nzuri na upendo mkubwa kwa Tanzania.



“Paradise. Africa. So blessed to have seen this with my eyes. #amazingblessings,” aliandika kwenye picha nyingine ya bahari ya Hindi.

Akijibu swali lililoulizwa kwenye miongoni mwa picha hizo alizoziweka kwenye Instagram kama atakuja tena Tanzania, Alaine alijibu: I will. I love it there. I love Tanzania. Feels like home.”

Kwenye picha nyingine, zinaonekana chips kavu, samaki na kaa na ameiandikia: They went and caught fresh fish and lobster and grilled it.. Oh my goodness my taste buds were in heaven. #mbudya #Tanzania #didnteatthefries #wantedfestival.”


Had the most amazing day on Mbudya island. Africa is so beautiful,” aliandika kwenye picha hii.

Kwenye picha nyingine ya bahari ya Hindi, Alaine aliandika: Indian Ocean , so beautiful, wow!!! Loved it!!”
Muimbaji huyo mcheshi na mrembo, ameshare mfululizo wa picha alizopiga kisiwani Mbudya alikoenda wakati yupo nchini. Katika picha hiyo juu, muimbaji huyo wa Rise in Love, ameandika: This is me on a boat! A what? A boat. A what? A boat. Oh a boat
Previous Post Next Post