PICHA: IRENE UWOYA AUONYESHA GARI YAKE MPYA:"RANGE ROVER"
byNews Tanzania-
0
Irene ameshare picha akiwa amepiga juu ya Range Rover hiyo mpya, ambayo yeye anaiita ‘My Baby’ na kuandika maneno ya ‘kuumiza roho’ kuwakata kilimi wale wanaomdhania kuwa yupo ‘cheap’.
Kwenye picha nyingine aliyolala juu ya gari hilo na kuyaacha mapaja yake wazi yaliyowatoa ‘udenda’ wanaume wenye uchu, Irene aliandika ‘I don’t care..’